Form Builder

Zana ya Uchunguzi wa COVID-19 kwa Shule au Kituo cha Kuchunga ya Watoto  

Madhumuni ya Zana hii ya Uchunguzi ni kuwasaidia wazazi na walezi kufanya maamuzi kuhusu iwapo watoto wao wanaweza kuenda shuleni/kituo cha kuchunga watoto. Zana hii ya uchunguzi inapaswa kujazwa kila siku kabla ya kuenda shuleni/kituo cha kutunza watoto kwa kila mtoto binafsi kivyake. Hakuna maelezo ya kibinafsi yanayohitajika unapojaza zana hii, hali inayomaanisha kuwa wewe na/au mtoto wako hawezi kutambuliwa au kuhusisha na majibu yako. Ni hiari yako kutumia zana hii. Inapendekezwa kuwa uwasiliane na mtoa huduma za afya iwapo una maswali zaidi kuhusu afya ya mtoto wako. Zana hii inaweza kubadilika kadri mwongozo zaidi kutoka kwa Wizara ya Afya na ushahidi kuhusiana na hatari za COVID-19 unapopatikana.

Tafadhali kumbuka: Vigezo mbalimbali (ikiwa ni pamoja na magonjwa  mengine ya msingi) vinaweza kuongeza hatari ya kupata ugonjwa hatari kutokana na COVID-19 na huenda mwongozo wa jumla usitumike vizuri kwa kila wakati. Kila mtu anapaswa kuzingatia vigezo vyake vya kibinafsi anapoamua iwapo ni salama kwake kuenda au kufanya kazi mahali fulani. OPH inapendekeza tovuti ya CDC kwa watu wote ambao wangependa kuelewa vizuri hatari zao za kibinafsi kutokana na maambukizi ya COVID-19.Contact Us